Baada ya picha za video kumuonyesha Dele alli akimuonyeshea Refa Clement Turpin kidole cha kati kitendo ambacho kinatishia kufungiwa na kupewa adhabu kali mchezaji huyo ameruka kimanga tukio hilo akijitetea kwamba yeye alikua anafanya mawasiliano na utani na mshikaji wake na mchezaji mwenzie wa kikosi hicho cha uingereza Kyle Walker, Tukio hili lilitokea jana wakati wa mechi kati ya England na slovakia katika uwanja wa Wembley

0 comments :
Post a Comment