Baada ya Blog hii kuanika kile kilichotokea jana kwenye mechi ya England vs Slovakia ambapo mchezaji Dele Alli alimuonyeshea refarii Mfaransa Clement Turpin kidole cha kati ambapo inaeleweka nia ishara ya matusi na kudhalilisha na mchezaji huyo kujitetea kua hakua anamuonyeshea Refa bali alikua akiwasiliana na mchezaji mwenzake ambae ni marafiki sana ndani na nje ya uwanja Kyle Walker sasa kichekesho ni jibu la Kyle Walker juu ya shutuma hizo yeye alimjibu Alli kwa kumtumia picha ya Mr Bean akionyesha kila anaekutana nae kidole cha kati ikiwa ni ishara ya kuwasalimia!! kwa hio akimaanisha Rafiki yake Dele Alli alikua anasalimia sio matusi picha hio hapo nimekuwekea chini aliyotuma Kyle Walker mtandaoni muda mfupi uliopita


* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment