Timu ya Yanga imeanza mechi yake ya Kwanza ya Majaribio kwa Kuifunguka Moro Kids (Under 20) jumla ya Mabao matano kwa 0 Katika Mchezo wa Kirafiki uliochezwa Leo 2.8.2017 Asubuhi katika Uwanja wa Seminari,Bigwa.
Mabao ya Yanga yamefungwa na Mzimbabwe Donald Ngoma aliyeingia Nyavuni mara mbili, Amis Tambwe, Yusuph Mhilu na usajili Mpya Raphael Daudi ambaye amesfunga Pia Bao Moja.
Hii ni mechi ya kwanza ya Kujipima Uwezo na Yanga wanatarajiwa Kucheza na Singida United siku ya Jumamosi 5.8.2017 katika Dimba la uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
Hii ni mechi ya kwanza ya Kujipima Uwezo na Yanga wanatarajiwa Kucheza na Singida United siku ya Jumamosi 5.8.2017 katika Dimba la uwanja wa Taifa Dar Es Salaam.
0 comments :
Post a Comment