Lile shindano letu la kupiga kura nani atakua bingwa limeingia siku ya pili ambapo mpaka naandika post hii YANGA AFRICAN walikua wanaongoza kwa asilimia 52 SIMBA FCwakifuatia na 48% AZAM FC 0% na SINGIDA UNITED 0% ipigie kura timu yako sasa ili uanze kuitabiria mazuri siku zote kizuri kinaonekana tangu mwanzo kama una computer nenda pembeni utaona sehemu ya kupigia kura kama unatumia simu shuka chini baada ya post hii utaona sehemu ya kupigia unaweza ukatumia simu nyingi kadri uwezavyo sababu hapa simu 1 kura 1 waambie na wapenzi wenzako wapige kura hizi kura zenu zinaangaliwa na wasemaji wa SIMBA na YANGA ni wapenzi wasomaji wa blog hii ma kwenye kuhesabu ntakua nao wote wawili
0 comments :
Post a Comment