Shindano hili linaingia siku ya sita tangu lianze Yanga amekua akiongoza tangu mwanzo wa shindano kinacho onekana mashabiki wa yanga wamekua wanawavizia mashabiki wa simba wakipiga kura wao wanakuja kupiga nyingi zaidi na kadri siku zinavyozidi naona mashabiki wa Singida United wameamka wana pigia Timu yao kura hii inakujengea Furaha na amsha amsha kwa sababu Blog hii ni kubwa inasomwa na wachezaji wa timu zote hapa nchini pia wasemaji wote wa Timu zote hapa nchini nina mahusiano ya karibu kikazi na wanafauatilia kura hizi huku wakitambiana kwa hio ni wakati wako sasa kuipa ushindi Timu yako kwa kupiga kura hapa kama unatumia computer nwnda pembeni pale utaona sehemu ya kupigia kura kama unatumia simu shuka chini baada ya hii post unayoisoma we shuka chiniii utaona sehemu ya kupigia kura matokeo mpaka naandika post hii yalikua YANGA anaongoza kwa 61% SIMBA 37% SINGIDA 2% AZAM 0%




0 comments :
Post a Comment