Dar es Salaam. Winga wa Mtanzania, Simon Msuva amesafiri na kikosi cha timu yake ya Difaâ Hassani El Jadidi kwenda nchini Hispania kuweka kambi ya siku saba.
Katika kambi hiyo watakuwa na michezo kadhaa ya kujima ubavu kabla ya kurejea Morocco kwa ajili ya kuanza msimu mpya wa Ligi Kuu nchini humo 'Batola Pro'.
Msuva amesajili na klabu hiyo ya Morocco akitokea Yanga ambayo aliitumikia msimu uliopita.




0 comments :
Post a Comment