Mashabiki mtandaoni wametuma picha ya Marouane Fellaini yenye mwonekano wa ajabu ikifananisha na ile wakati akipiga mpira kwenye mechi ya jana Jumanne dhidi ya Real Madrid.
Mchezaji huyo aliwajibu mashabiki wake waliotengeneza picha hiyo kupitia mtandao wake wa Twitter akionyesha kufurahishwa licha ya kuongezewa vionjo.






0 comments :
Post a Comment