News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 25 August 2017

SIKIA MANENO YA OKWI: ALIEMSAJILI NIYONZIMA NDIE ALIELETA MAKOMBE SIMBA

Tokeo la picha la Haruna Niyonzima YANGA VS SIMBA
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi, ameibuka na kusema kuwa kiungo mwenzie Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kiwango anachokionyesha uwanjani kitasaidia kuwapa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu utakapoanza kesho.

Ligi Kuu Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi ambapo Simba itafungua pazia dhidi ya Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Taifa, Dar.

Okwi amesema kuwa Niyonzima, kwa uwezo wake alionao, atawasaidia mbio hizo za ubingwa kutokana na uzoefu wake na kuwa bado yupo katika kiwango bora.
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment