Mshambuliaji mpya wa PSG, Neymar aliyeweka rekodi ya dau la usajili akitokea Barcolana, amepewa likizo fupi kabla ya kujiunga na wachezaji wenzake mazoezini.
Neymar aliyetua Ligue 1 kwa dau la Pauni 198 milioni alikuwa kwenye ufukwe nchini Ufaransa na alionekana akijirusha kutoka kwenye boti bila kuwa na hofu.
PSG inatarajia kumtumia Neymar kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa kwanza utaopigwa Jumapili dhidi ya Guingamp.


0 comments :
Post a Comment