Timu ya Simba inatarajiwa kushuka uwanjani leo Jumanne kukipiga dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda katika mchezo wa kirafiki, lakini hii ndiyo ratiba kamili ya Tamasha la Simba Day linalohusisha mechi hiyo pia, ambalo linatarajiwa kufanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam:
RATIBA YA SIMBA DAY
SAA NNE ASUBUHI- MAGETI KUFUNGULIWA
SAA TANO KAMILI- SHOW ZA WASANII mfn: Snura,tundaman,jumanature,Ney,Ommy,nk
SAA NANE - SIMBA B V/S VIJANA RANGERS
SAA TISA WACHEZI KUINGIA UWANJANI KUTAMBULISHWA
SAA KUMI KAMILI SHOW YA KIBABE.
SIMBA SC V/S LYION YA RWANDA


0 comments :
Post a Comment