News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 8 August 2017

MSIKILIZE WENGER ANAVYOZUNGUMZIA KIKOSI CHAKE NA UBINGWA SASA KOCHA AKISEMA HIVI JE SHABIKI?


Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amejinasibu kuwa kikosi chake cha msimu huu kitafanya maajabu katika Premier League. Wenger amesema licha ya kufanya usajili mdogo, lakini anaamini mshikamano uliopo kati ya wachezaji wake, utachangia timu kufanya vizuri. Kocha huyo anasema ushindi wa Ngao ya Hisani dhidi ya Chelsea, nao umeongeza ari ndani ya timu. Arsenal inategemewa kuanza kampeni za kusaka taji la Premier League wikiendi hii dhidi ya mabingwa wa mwaka juzi, Leicester City. 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment