News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 9 August 2017

KOCHA WA EVERTON AWAHAKIKISHIA MASHABIKI WA TIMU HIYO ANA 100% GIROUD ATAKIPIGA MSIMU UJAO EVERTON


BOSI wa klabu ya Everton, Ronald Koeman ameripotiwa kuendelea kuwa na matarajio ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud ambaye amekiri kutaka kutua katika kikosi hicho. Giroud anaweza kuondoka katika kikosi hicho baada ya kuenguliwa kwenye mipango ya kocha msimu ujao wa Ligi Kuu nchini England, Koeman anataka kutengeneza kikosi cha ushindi akiamuunganisha Giroud sambamba na Wayne Rooney aliyetua akitokea Man united
So
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment