August 26, 2017, Uwanja wa Taifa, Dar, Simba itakutana na timu JEURI, inayoujua mpira, timu yenye vijana hatari, wenye uwezo na akili ndefu ya mpira, RUVU SHOOTING!
Kupitia mchezo wao wa kirafiki walioucheza siku yao dhidi ya Wanyarwanda, uliochezwa uwanja wa Taifa August 8, 2017, tumewachunguza, tumebaini hawana tofauti na mgonjwa wa KIFAFA!
Hawatusumbui, tayari dawa tunayo, lazima tuwashughulikie


0 comments :
Post a Comment