News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 22 August 2017

HUKU NDIKO MUSIC ULIPOFIKIA: ALI KIBA NA DIAMOND WARUSHIANA MANENO MTANDAONI ,KIBA AMWITA DIAMOND MALKIA WAKE WA NGUVU


Mambo yameanza kuwa mambo, baada ya ukimya wa muda fulani sasa mambo yameanza kuvurugika tena ambapo safari hii Diamond Platnumz na Ali Kiba wamekinukisha tena.
Kupitia wimbo wa Fresh (Remix) wa Fid Q ambao amewashirikisha Diamond na Rayvanny kuna sehemu Diamond anarap kwa kusema: “Kunicompare na Cinderella haiwezi kuwa fresh, naona swala wanaforce tuwe saresare…si walitaka kiti, nimewapa kitanda wakalake.”
Sasa kupita ukurasa wake wa Twitter, Ali Kiba amejibu mapigo kwa kuandika: 
“I know that you hate me 100%  but  I give ZERO F**ks 🤙🏾 #KingKiba”
Baadaye Ali Kiba akaandika: “The KING ll always Be a KING. je Umeshakitandika nilale MALKIA wangu wa nguvu ?? 😂😂😂😘 🤙🏾#KingKiba”* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment