News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 22 August 2017

MASAU BWIRE PAMOJA NA EDO KUMWEMBE WAKICHAMBUA NANI WANAONA ANAKWENDA KUSHINDA PAMBANO LA KESHO SIMBA VS YANGA


Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema watu hawana raha mitaani kwa kuwa gumzo pekee ni Yanga na Simba kwa kuwa zinakutana kesho.

Lakini akasisitiza, timu hizo hazina lolote kwa kuwa zina mambo ya kitoto kwa kuwa huwa hazionyeshi soka lolote zaidi gumzo la mazoea.

Yanga na Simba zinakutana kesho kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya Ngao ya Jamii.

Akizungumza jijini Dar es Salaam, Masau ambaye ni mwalimu kitaaluma, amesema hakuna kipya ambacho timu hizo huwa zinaonyesha.

“Nikuambie hawa jamaa hawana lolote hasa kama unazungumzia uwanjani. Mimi naona ni mambo ya kitoto tu, gumzo kubwa kila sehemu mtaani hadi hatuna raha.


“Lakini ukienda uwanjani pale, hakuna kiwango chochote kinachoonyeshwa,” alisema.


Ukiziangalia timu zote mbili ni kwamba watu watanishangaa lakini simba wanakazi Kubwa sana, Nazungumzia Mpira  Dunia Nzima na Ulivyo sababu ukiangalia Simba wamebadilisha wachezaji wengi sana, Karibu nusu " 

Eddo amesema Simba bado hawajapata Pattern Nzuri  ya kiuchezaji kama timu lakini Upande wa Yanga wanaweza wakapanga Kikosi chao Kilekile kasoro wachezaji watatu tu ambao walikuwa muhimu kwenye Kikosi na wameondoka,   Msuva,Bossou na Niyonzima

. * USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
 
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment