News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday 22 August 2017

ADIDAS YAVUJISHA SIRI KWA MAKOSA HII NDIO NAMBA YA JEZI ATAKAYOVAA ZLATAN IBRAHIMOVIC NA TIMU ATAKAYOJIUNGA NAYO

Tokeo la picha la zlatan ibrahimovic

Safari ya ZLATAN IBRAHIMOVIC kurejea Manchester United ipo karibu mno ambapo wadhamini wa jezi zao -Adidas - tayari wamevujisha jezi yenye jina lake. Mshambuliaji huyo anayepona kwa kasi maumivu yake ya goti, yuko mazungumzoni na  Manchester United katika dili la mkataba wa msimu mzima.

  Jezi iliyovujishwa inaonyesha Ibrahimovic atavaa jezi namba 10 ambayo ilikuwa ikivaliwa na Wayne Rooney. Hapo kabla katika msimu uliopita, Ibrahimovic alikuwa akivaa jezi namba 9 ambayo imechukuliwa na Romelu Lukaku.

* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment