HABARI MPYA NA KWA MARA YA KWANZA KABISA TANZANIA KWENYE MECHI YA SIMBA VS YANGA HIKI NDICHO KILICHOAMRIWA NA TFF
Shirikisho la Soka Nchini TFF Limesema litawapima wachezaji wa Yanga na Simba kabla ya Mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 23 ili kubaini kama wapo wanaotumia madawa ya Kuongeza Nguvu kitendo ambacho hakiruhusiwi Michezoni
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*
Hicho kipimo kinauwezo wa kupima bangi?
ReplyDelete