WIKI END BILA MADONGO HAJI MANARA NI SIKU YA KAZI HIO" HUYU HAPA MSIKILIZE ALICHOKIONGEA ASUBUHI HII!!
Klabu ya Simba Imethibitisha kuwa ni kweli Itakuwa na Michezo miwili ya Kirafiki dhidi yaOrlando Pirates na Bidvest Wits zote zinazoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini.
Afisa Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara Amesema Mechi hizo Zitachezwa siku yaJumanne na Alhamisi wiki Ijayo. Amesema kua Habari za simba pamoja na mechi ambazo timu yao itacheza watanzania na wapenda soka watafahamishwa kama ilivyo hivi sio kusikiliza habari ambazo hazieleweki wapi zinatokea kama wanataka 7-0 basi wazisubiri watapata wanachokitaka siku ya Ngao ya hisani
Simba kwasasa iko nchini Afrika Kusini Ikijiandaa kwa mazoezi Makali Kwaajili ya Maandalizi ya Msimu wa 2017/2018 Unaotarajhiwa Kuanza Mwezi wa Nane Mwishoni.
0 comments :
Post a Comment