HAWA LAZIMA WAPASUKE NYINGI ANGALIA KIKOSI CHETU FANANISHA NA CHA KWAO!!
Kutokana na usajili na Tambo zinazoendelea inaonekana ligi ya mwaka huu itakua na ushindani mkubwa sana kwa kua timu nyingi zimesajili vizuri hata timu ndogo nazo zimechukua wachezaji wenye uzoefu ambao wameshacheza timu kubwa kwa hio tutegemee kuona ligi kali na yenye ushindani kizuri zaidi nikua ligi itakua chini ya uongozi mpya wa TFF mpya baada ya ule wa Malinzi kulalamikiwa kwa hio kwa sasa atakaepigwa na kukosa ubingwa hatakua na cha kujitetea
HIVI NDIO VIKOSI VINAVYOKADIRIWA KUWA
0 comments :
Post a Comment