Kutokana na Usajili wa wachezaji wakali ambao kila timu imejisajilia msimu huu kwenye mitandao kumekua na utani uliopitiliza na kuweka hamsha hamsha za kufa mtu kuelekea mchezo wa ufunguzi wa ligi hio 'NGAO YA HISANI" blog yako makini ya TANZANIA HOT NEWS itakua inakuletea vimbwanga vinavyotokea huko mtandaoni na picha zilizo ckick kwa siku husika siku ya leo kwenye Grope la soka la SPORTS RAHA kuna jamaa mshabiki wa yanga anaeitwa John Kiondo alituma picha inayomuonyesha Tambwe akiwa simba kachooooooooka kinoma alafu upande mwingine yuko mbavu kinoma kilichotokea hapo sasaaaaa povuuuuu la kufa mtu na picha za hatariiiiii kwa leo nimekuletea chache tu ila kesho nikona kiroja kingine ntakujazia kibaoooo hapa ndio kwako uende wapi kwingineeeee?😎😎😎
PICHA ALIZOKUMBANA NAZO BWANA JOHN KIONDO "BALAAAAA!!"
Huku yakitoka majina ya hatariiii kama Gongo wazi fc, Mateja fc na kadhalika kesho nayo ni siku ngoja nikachungulie ili niwaletee kilichojiri huko wambieni wagie na hii sisi tutaanza wao waige
0 comments :
Post a Comment