Juzi usiku kocha Arsene Wenger aliwaambia mashabiki wa klabu hiyo kwamba Sanchez na Mustafi wako njiani na siku ya Jumapili watarejea London kuanza mazoezi.
Habari hiyo iliwafurahisha sana mashabiki wa Arsenal kwani wengi hawakuamini kama Sanchez anaweza kurejea tena katika timu yao na kufanya nao mazoezi.
Wakati zikiwa zimebaki siku mbili tu ili Sanchez arejee, Kupitia ukurasa wake wa Instagram Sanchez amepost picha na kuandika “sick”.Masahabiki wengi wa Arsenal na wapenzi wa soka wakatasfiri kivyao wakaanza kuporomosha kashfa na lawama wakisema kwann aumwe kipindi hiki ambacho kocha ametangaza kua anarudi mazoezini lakini ukweli wa posti hiyo ni huu hapa Alex sanchez aliandika neno sick kwa mbwa wake anaeumwa homa na wote mnaelewa jamaa anavyopenda mbwa wake sasa mashabiki wakashindwa kuielewa post na kuleta mjadala mkubwa mno Dunia nzima hata blog nyingi Tanzania zinazoonekana ni kubwa walichukua habari bila kuifanyia uchunguzi na kupata ukweli wa post sisi TANZANIA HOT NEWS tutaendelea kuwa makini na kuwapatia habari za kweli ili kukidhi haja yako ya habari za ki sports nakusisitiza Tafadhali Download Application yetu hapo chini ufurahie habari pia ufurahie Redio zetu online nakuapia hutajuta kutuchagua Tumekuja kuleta mageuzi ya kihabari Tanzania
![](https://is02.ezphotoshare.com/2017/07/23/sAYGYx.jpg)
![](https://is05.ezphotoshare.com/2017/07/17/snRRYI.jpg)
![](https://is02.ezphotoshare.com/2017/07/23/sAYGYx.jpg)
About
0 comments :
Post a Comment