News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 10 July 2017

USAJILI WA SALUMU MBONDE WAIPONZA SIMBA: MTIBWA WAJA JUU WASEMA KUA HAWATAKUBALI KWA KUA.....

Image may contain: 1 person, smiling, standingSalim Mbonde akisaini kandarasi ya Miaka 2 Simba

KLABU ya Mtibwa Sugar Kupitia kwa Msemaji wake Thobias Kifaru wameibuka na kusema Simba hawajafuata Utaratibu wa kumsajili Salim Mbonde ikiwa ni siku moja baada ya klabu ya Simba kuonekana ikimsainisha beki wa kati wa Mtibwa  kandarasi ya miaka miwili.

Akiongea Kupitia Radio 24, Radio inayomilikiwa na Blog hii unayoisoma  msemaji huyo wa Mtibwa ndugu  Thobias Kifaru  Amesema Simba hawajaifuata Mtibwa Kuzungumza nao juu ya Mbonde.

 Licha ya Kutosema ni nini hasa kinaweza Kumzuia Mbonde kusajiliwa Simba kama Mkataba wake umeshaisha Mtibwa. Tutaendelea Kukupa Sakata Hili Litaishia Wapi endelea kutufuatilia pia endelea kusikiliza 24 radio "kabali yao"
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment