News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 10 July 2017

HUYU JAMAA BWANAAAA!!? JOHN TERRY ATAJA SABABU YA KUAMUA KUJIUNGA NA ASTON VILLA


BEKI na nahodha wa zamani wa Chelsea, John Terry amesema ameamua kujiunga na klabu ya Aston Villa ambayo haiko Ligi Kuu kwa sababu maalum. Terry amesema kwamba kujiunga na klabu hiyo kuna maana kwamba hataki kukutana na klabu yake ya Chelsea anayoipenda.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment