News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 24 July 2017

ROLNADO ATAJA WAPINZANI WAKE ALIOWAACHA UTASHANGAA NA ALIOWATAJA UTACHEKA!!

rolnado
Madrid, Hispania. Wakati akijiandaa na kuanza msimu mpya, Cristiano Ronaldo amewataja wachezaji watakaompa ushindani mkubwa.
Mshindi huyo wa tuzo ya Ballon d'Or anatakiwa kujituma zaidi katika kuhakikisha anaendelea kunyakuwa tuzo hiyo inayotolewa kwa mchezaji bora wa mwaka.
"Ni wazi kuwa kila siku umekuwa ni ushindani baina yetu," aliimbia ESPN akiwa ziarani China.
"Nipo hapo pamoja na [Lionel] Messi, Neymar, [Robert] Lewandowski na [Gonzalo] Higuain...
"Haina hiyo ya ushindani ni mzuri ni jambo linaloniongezea hamasa, la kutaka kuwa bora zaidi yao kila mwaka.
"Unapojiweka katika ushindani dhidi ya wachezaji bora inakuwa uwe bora zaidi.  Inakufanya usipoteze malengo kwa sababu wenzako watakupita."
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment