News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday 24 July 2017

HAWA JAMAA KWENYE BEKI WAMEPANIA PAUND MILLION 133 ? LEO MUDA MCHACHE ULIOPITA WAMTAMBULISHA MENDY KUTOKA MONACO

Benjamin Mendy poses with Pep Guardiola and his new No 22 Manchester City shirt 
Man City inaonekana imedhamiria makufanya makubwa baada ya kuwekeza hela nyingi sana kwenye eneo la ulinzi ambalo mpaka sasa  wameshatumia Paund 133 milion kwa ajili ya eneo hilo tu jana Man city walimtambulisha beki Danilo kutoka Real Madrid leo hii wamemtambulisha Benjamin Mendy ambae amesajiliwa kwa kitita cha Thamani ya paund 52 million mkataba wa miaka 5
The French defender underwent a medical in Los Angeles after jetting off to America

The 23-year-old has signed a five-year deal after arriving from Ligue 1 champions Monaco

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment