
Klabu ya Yanga Kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Hussein Nyika wamethibitisha kuwa wameshamalizana Na Papy Kabamba Tshishimbi Mkongomani aliyekuwa akicheza katika Klabu ya Mbabane Swallows.
Hussein Nyika akiongea Kupitia EFM kuwa huenda leo wakamtambulisha kwani Jana kwakuwa alikuwa ndiyo kafika alihitaji kupata mapumziko, Nyika amesema Mchezaji Huyo ndiye wa Mwisho kwa wachezaji wa Kigeni na sasa wanataka Kuongeza mchezaji wa Ndani Kulingana na Ripoti ya Mwalimu



0 comments :
Post a Comment