News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday 9 July 2017

LUKAKU AKITUA, MZIKI WA JOSE MOURINHO UTAONEKANA NAMNA HII

Manchester United iko katika hatua za mwisho kumnasa mshambuliaji Romelu Lukaku kwa kitita cha pauni million 75.

Pamoja na Lukaku, Jose amemmlenga kiungo Ivan Perisic raia wa Croatia. Kama atawapata hawa, maana yake kikosi chake msimu ujao kitaonekana kama unavyoona hapo juu.

Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment