News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Sunday 9 July 2017

ROONEY ATUA EVERTON AFANYIWA VIPIMO VYA AFYA, ATAKUWA KWENYE MSAFARA WA DAR ES SALAAM



Unaweza kusema kwa asilimia 80 sasa, Mshambuliaji nyota nchini England, Wayne Rooney atakuwa katika msafara wa Everton utakaokuja nchini siku mbili zijazo.

Everton inakuja nchini kucheza na Mabingwa wa SportPesa Super Cup, Gor Mahia, mechi itakayopigwa Alhamisi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

jana  mchana, Rooney aliwasili makao makuu ya Everton kwa ajili ya kufanya vipimo.

Rooney amekubali kurejea nyumbani Everton baada ya Manchester United kumsajili Romelu Lukaku ambaye itamtangaza ndani ya siku moja.


Rooney amekubali kurejea nyumbani Everton baada ya Manchester United kumsajili Romelu Lukaku ambaye itamtangaza ndani ya siku moja.

Kitendo cha Rooney kutua na kufanya vipimo maana yake kila kitu kimekamilika na sasa atakuwa kati ya wale watakaokuja Tanzania.




Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment