News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 26 July 2017

KENEDY WA CHELSEA NI CHIZIII!! HEBU ANGALIA PICHA ALIZOTUMA INSTA BAADA YA KUFUKUZWA KWA SAKATA LAKE LA PICHA ZA MATUSI


Kenedy ameendelea ku make Headline baada ya kutuma picha zenye ujumbe wa matusi wakati akiwa na Timu yake ya Chelsea ambayo ipo kwenye ziara nchi za Asia sasa jamaa kutokana sakata hilo timu yake ya Chelsea iliomba Radhi na kumfukuza kwenye kambi ya Timu hiyo na kumrudisha England  sasa jamaa achilia mbali sakata hilo jamaa amefanya kituko kingine ambacho kimefanya watu wengi mtandaoni wakiongelee jamaa alivyofika tu Uingereza Kpiga picha na mbwa alafu akamvalisha miwani na kapero akatuma  picha hio imeleta maneno mengi mno nikiwa kama mwandishi wa blog bora Tanzania Blog ya TANZANIA HOT NEWS nakusogezea habari zote kali ambazo zina ckick Duniani endelea kukaa nasi hapa ndio penyewe achana na Copy  and Paste kuwa wa kwanza kupata Habari

                PICHA ALIZOTUMA TU BAADA YA KUFIKA LONDON


Kenedy has arrived back in the UK

He immediately posted a Boomerang video after being reunited with his dog

PICHA ZILIZOSABABISHA AFUKUZWE NA CHELSEA  SINGERPOOL

 caption: 'F*** China'
The winger then made matters worse by posting an offensive message about a sleeping security guard, alongside the message: 'Wake up China you idiot'
 'Wake up China you idiot'
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment