News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 26 July 2017

BONGO HATA KWA UCHAWI HII HAIWEZEKANI: ZLATAN IBRAHIMOVIC AWEKWA KWENYE NOTI YA 1000 YA KWAO

Tokeo la picha la Zlatan-Ibrahimovic-painted-version-1-000

Mchezaji Zlatan Ibrahmovic amawekwa kwenye noti ya nchi yake yenye thamani ya 1000 ikiwa ni katika kutambua mchango wake katika nchi yake wakati kwenye nchi zetu za Ki africa  tumeshuhudia wanasiasa tu wakibadilisha sura zao nadhani hii ni swala zuri pia la kujifunza hii itawapa nguvu na morari wachezaji wengine na wanamichezo wengine kujituma zaidi na kuwa na uzalendo na nchi yao endelea kukaa na sisi tumedhamiria kukupa habari karibu kila saa usiende kule kwa copy& paste karibu upate dondoo za soka masaa 24 hapa TANZANIA HOT NEWS


Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment