PAPY KABAMBA TSHISHIMBI AFUZU VIPIMO VYA AFYA KUJIUNGA NA MABINGWA WA TANZANIA YOUNG AFRICA
Klabu ya Yanga Leo imemfanyia Vipimo vya Kiafya Kiungo Papy Kabamba na kama Mambo yakienda sawa basi huenda akaanguka saini ya kuitumikia Yanga kwa Miaka miwili.
Utata Uliokuwepo ulikuwa ni Juu ya mkataba wake na Mbabane Swallows uliokuwa Unamalizika mwezi wa 10, Yanga Iliwabidi Kusubiri mpaka mkataba uishe au Wauvunje na Kuwalipa Mbabane, Ila Yanga kupitia kwa mwenyekiti wa Kamati ya Usajili alikuwa Tayari Kuvunja mkataba wa Tshishimbi.
Taarifa zinasema Tayari Kiungo Huyo amefuzu vipimo vya Afya Na Muda wowote Huenda Yanga wakamtangaza Kama Mchezaji wao kwa msimu wa 2017/2018
0 comments :
Post a Comment