News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 22 July 2017

JERRY MURO ACHAFUA HALI YA HEWA!! KAULI YAKE YA NCHI INA RAISI MMOJA TU WENGINE WOTE RUMANDE YASABABISHA....

Post aliyoituma aliekua msemaji wa Yanga aliemaliza muda wake imeibua maswali na utata  mtandaoni wengine wakisema  anawaletea dharau  viongozi  waliowekwa ndani wengine wakisema ametumia akili kufikisha ujumbe kua ni kweli viongozi wengi wenye vyeo vya urais mambo yao sio mazuri tangu umeingia uongozi wa  awamu hii ya utawala  kwa sasa kuna baadhi ya viongozi ambao wana vyeo vya urais kwenye Taasisi wanazoziongoza  4 wakiwa Rumande 

 SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment