News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday 21 July 2017

HEBU ANGALIA SIMBA NA YANGA ZILIPOFIKIA HII NI ZAIDI YA HATARI!!

Tokeo la picha la SIMBA SC CARTOONS
Kutokana na timu zote kufanya usajili  Tambo zimekua nyingi sana  mtandaoni hata kwenye sehemu za kazi na kwenye Daladala lika mtu akimtambia mwenzake  na kuona  ana uhakika wa timu yake kushinda na kumgalagaza mwenzake kiukweli ligi hii inayokuja itakua na utamu wa aina yake kwa kua  mashabiki wa pande zote wameipania sana  na hizi ni baadhi ya picha  zinazotupiwa sana  kila mtu akimtumia mwenzie kibonzo kua ni kimeo asubiri kipigo siku ya Ngao ya hisani  ambayo ni kama kuukaribisha msimu mpya wa ligi ambao utazikutanisha timu mbili watani wa jadi achilia mbali majina ya ajabu wanayoitana  kama GONGO WAZI FC,CHURACHURANI FC,WAMATOPENI,WAHAPAHAPA, FIFA FC, POOLTABLE FCBWAWANI AFRICANMRS MWARABU FC na mengine mengi

 wanavyo ongea kwenye groups John boko akipatiwa vipimo vya afya!!

wanavyo ongea kwenye groups Foard mpya wa yanga kutoka Jamaica

wanavyo ongea kwenye groups  shabiki wa simba

wanavyo ongea kwenye groups  Simba Mungu anawaona  Tambwe kama kilokotwa?

wanavyo ongea kwenye groups teja tejani

wanavyo ongea kwenye groups  South ya mvomero morogoro?

wanavyo ongea kwenye groups Vyuku kwa mrija  juisi kwa mbaaaaaaaaaaaali

wanavyo ongea kwenye groups  jamani njaaa hukuu!!  Tambwe kashamaliza makande yake zamaniiii

wanavyo ongea kwenye groups  Mchezaji wa Yanga tunaeambiwa akitangazwa nchi itatikisika

wanavyo ongea kwenye groups  Gari la mkaa trip shamba trip gereji

wanavyo ongea kwenye groups WATAKATISHAJI FC


 SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment