News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday 22 July 2017

MASKINI YANGA YAFANYIWA UMAFIA MZITO DEUS KASEKE ASAINISHWA SINGIDA USIKU MZITO


Mshambualiji wa zamani wa Mbeya city na Yanga Deus Kaseke ‘Deda’  usiku wa kuamkia leo amesaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu ya Singida United.

Kaseke amesaini kwa dau ambalo yanga hawakufika walipozumgumza nae hatimae kudondokea mikononi mwa Pluijm na moja kwa moja atafika kambini Mwanza tayari kwa maandalizi ya msimu mpya.

Singida United inachukua mchezaji wa pili sasa kutoka Yanga baada ya siku chache zilizopita kumsainisha aliyekuwa golikipa wa Yang
SHARE HABARI ILI WATU WENGI WAIONE BONYEZA SHARE KWA FACEBOOK HAPO CHINI
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment