![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_AQiEvjJAazKzfTmVfFIKX94E8ZGWjh0SAPCrf7ChxTYLWbJLRMXJ49dPYa1NyJF7NdsKczYHtQO2TpnAdgTt_SKesZaQWZE-qvmfYcsjHpeQLj4zzXJxKv0hvROlCnz5ufepA25Z7mI/s1600/FELLAINI.jpg)
Wakati ikidaiwa kuwa klabu ya Galatasaray imepeleka ofa ya kumsajili kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini, vyombo mbali mbali vya Uturuki vimedai mchezaji huyo tayari amesaini kujiunga na Galatasaray. Vyombo hivyo vya habari vya Uturuki vimeripoti kuwa Fellaini mwenye umri wa miaka 29, anatua Galatasaray kwa mkataba wa miaka mitano. Fellaini kipenzi cha Mourinho, alirefusha mkataba wake Old Trafford hadi mwaka 2018, lakini anajua wazi kuwa ujio wa Nemanja Matic kutoka Chelsea utaathiri kabisa nafasi yake Manchester United.
![](https://is05.ezphotoshare.com/2017/07/17/snRRYI.jpg)
![](https://is02.ezphotoshare.com/2017/07/23/sAYGYx.jpg)
0 comments :
Post a Comment