News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 13 February 2017

MAKONDA: EEEH!! SAMAHANI NILISAHAU NAMTAKA CHIDI MAPENZI LEO HII NIMKUTE POLICE !! MMESIKIA KAMKAMATENI SASA HIVI!!

Mkuu wa mkoa ametoa amri kua anamtaka  mmiliki na mfanyabiashara wa duka la Nguo linalokwenda kwa jina la CHID MAPENZI, Mh alisikika hewani akisema wakati Ras alipokua
anafunga mkutano eeeeh hebu subiri kwanza mm namtaka Chid Mapenzi leo leo nimkute Police kati alooo mmesikia akitoa taarifa kwa Kamanda Siro   hii imekuja baada ya mkutano ukiwa umeshataka kufungwa  tutaendelea kuwaletea habari iwapo tutapata habari nyingine mpya!!


Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment