News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 13 February 2017

Adele ampa heshima Beyonce kwenye Grammy ‘Nakuhusudu, natamani ungekuwa mama yangu’




              Adele amempa heshima kubwa Queen Bey kwenye tuzo za Grammy.

Baada ya kuchukua tuzo zote kubwa za usiku huo, Song, Record, na Album of the Year — muimbaji huyo wa Uingereza alimwelezea Beyonce kama idol wake.

Wakati akipokea tuzo ya Record of the Year, Adele aliangalia kwenye watu waliokuwa wakimuangalia na alipomuona Beyonce alisema, “My dream and my idol is Queen Bey. I adore you. You move my soul and you have done for nearly 17 years. I adore you and I want you to be my mummy.”
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment