News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Monday, 13 February 2017

Sasha: Kalio la Sanch, Wema halinipi presha!

MREMBO ambaye hivi karibuni amevuma kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kutokana na kupiga picha za utupu, Sasha Kassimu ‘Sasha’ amefunguka kuwa waremboambapo ndiyo wanasifika kuwa wana figa Bongo, Jane Rimoy ‘Sanch’ na Wema Sepetu hawamsumbui kwa kuwa hawamfikii hata robo.

Wema Sepetu
Akizungumza na habari24radio, Sasha alisema kuwa anachoamini yeye kuwa yuko vizuri kwenye kila idara kwa hiyo hawahofii warembo hao kwa lolote kwa maana anaamini kuwa hata kama watasimama pamoja yeye atakuwa mshindi.
Sasha
“Unavyoniona hakuna wa kuniogopesha au kuninyima usingizi kati ya Wema au Sanch kwa sababu naamini kabisa mimi nimewazidi kwa kila kitu na kama wanabisha tuandae shindano waone,” alisema Sasha.
Sanch
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment