Akiongea na HABARI24RADIO Fid amesema, “Nilikuwa najaribu kumulikia mwanga juhudi zao
ambazo wamekuwa wakizionyesha kwenye sanaa yao.” “Kwa mfano mtu kama Wakazi kwa mwaka anaweza akawa na mixtape tatu na ndani yake kunaweza kukawa na ngoma kama nane nane. Wakati huo huo kuna wasanii kwa mwaka wanatoa ngoma moja lakini yupo kwenye mainstream na anafan base kubwa so wanasurvive,” ameongeza. “Sanaa haihitaji hiyo kitu ila inahitaji variety kwahiyo hawa wamekuwa wakitupa variety, vitu tofauti tofauti kila siku. Kuna wakati bNikki Mbishi alikuwa anatoa ngoma kila wiki.”
0 comments :
Post a Comment