News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Wednesday, 22 February 2017

NYOTA NDOGO APIGWA NA BUTWAA BAADA YA MDADA KUVAA GAUNI ILIYOACHA *KITUMBUA NJE* NAKUSEMA....


NYOTA NDOGO ALIANDIKA HIVI!!


SAMAHANI KWA PICHA HII.......................................................KAMA KENYA TUNASEREKALI TAFADHALI SEREKALI WATOTO WETU HUKU NDIO WAMEFIKIA.HII ILIKUA MOMBASA JANA . HIZI SIO KIKI TENA NIUDHALILISHAJI WA HALI YA JUU.SEREKALI TAFADHALI WANAWAKE MULIOBUNGENI HILI SWALA LINAWAHUSU.INABIDI SEREKALI MUEKE VIPIMO VYA MAVAZI THIS IS NOT GOOD.shabiki plz share share share kwaajili ya mtoto wako mpaka ifikie SEREKALI. MY GOD WHAT IS THIS WALLAI JAMANI HII NI NINI? TUMEFIKA HAPA? Hawa mutakua munajua role model wao.
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment