News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 12 January 2018

SAFARI YA CONTE CHELSEA YAIVA:MASSIMILIANO ALLEGRI AKUBALI KUMRITHI ANTONIO CONTE CHELSEA



Massimiliano Allegri anaongoza orodha ya makocha wanaotajwa kumrithi Antonio Conte Chelsea na inaaminika ameshakubali kwenda Stamford Bridge.

Wakati Conte anatarajiwa kuondoka kwa mabingwa hao wa Premier League mwishoni mwa msimu huu, ripoti kutoka Italia zinadai Allegri kocha wa Juventus ndiye chaguo kuu la Chelsea.

Gazeti la Corriere dello Sport la Italia linadai Allegri ndiye anayetarajiwa kumrithi Conte kama alivyomrithi ndani Juventus mwaka 2014.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment