News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 12 January 2018

LILE SAKATA LA MAN UNITED NA MAN CITY KUMGOMBEA "SANCHEZ" LIMEFIKIA HAPA USIKU WA KUAMKIA LEO!!

Man Utd rival Man City with £25m bid for Alexis Sanchez
Manchester United imepeleka maombi ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez anayewaniwa na Manchester City.

City ilipeleka ofa inayotajwa kufikia pauni milioni 20 kwa nyota huyo wa Chile lakini United inajiandaa kuweka mezani kiasi kinachotarajiwa kukaribiana na pauni milioni 35 sambamba na kumpeleka Emirates kiungo wake Henrikh Mkhitaryan.

Inaaminika ofa ya United itafikia pauni milioni 25 na Jose Mourinho anaonekana kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuwashinda wapinzani wao wa mji wa Manchester 
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment