News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Saturday, 30 December 2017

RATIBA ZA MITANANGE YA LEO JUMAMOSI 30 DEC 2017 MUDA WA MECHI HIZO HAPA



Ligi kuu ya Uingereza itaendelea leo Jumamosi ya December 30 kwa michezo saba kupigwa katika viwanja tofauti.Michezo sita itapigwa kuanzia saa 18:00 jioni na mchezo wa saba utapigwa saa 20:30 usiku, kama unavyoona hapa chini kwenye ratiba
.

18:00 AFC Bournemouth vs Everton

18:00 Chelsea vs Stoke City

18:00 Huddersfield Town vs Burnley

18:00 Liverpool vs Leicester City

18:00 Newcastle United vs Brighton & Hove Albion

18:00 Watford vs Swansea City

20:30 Manchester United vs Southampton USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment