News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 29 December 2017

MANCHESTER UNITED YAFUNGIA KAZI PAULO DYBALA WA JUVENTUS ...Henrikh Mkhitaryan kwisha habari yake




Inaaminika kuwa Manchester United imeweka mezani pauni milioni 70 ili kunasa saini ya mshambuliaji wa Juventus Paulo Dybala.
Pamoja na kitita hicho, United pia itamtoa kiungo wake  Henrikh Mkhitaryan kama kishawishi cha kumnasa Dybala.
Gazeti la The Sun la Uingereza limeandika kuwa Juventus imekataa ofa hiyo na kwamba inataka pauni milioni 86 kwa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24.

USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment