News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 29 December 2017

habari mchanganyiko za soka:kitaifa,kimataifa,usajili na matokeo yote ya mechi za jana na ratiba za leo

Tokeo la picha la footballnews
Soka kitaifa 
★Simba yaua mapema yapokelewa kifalme huko mjini mtwara wenyewe simba wasema kuwa wakutane uwanjani watawapa burudani ya kutosha Fans Wao Katika uwanja wa nagwanda sijaona kesho ...
★Azam fc wasema waleteni stand tuwapige nyingi wasema kila kitu kipo sawa kuelekea mchezo huo huku stand nao wakisema wanatambua kuwa mchezo mgumu ila watapambana kuhakikisha wanapata point 3 ,Mchezo huu utapigwa katika uwanja wa azam complex saa moja jioni ...
★klabu ya soka ya mbao yasema waleteni yanga tuwapige kwani ni wahenga wao lazima wakae hii ni kauli ya team mbao fc mchezo huo utapigwa jumapili saa kumi jioni huko ccm kirumba mwanza...
★Baada ya kauli kutoka tff kuhusu ndondo cup wadau watoa yamoyoni wapo wanao sema kuwa tff wapo sahihi kwa kuwa ndondo nyingi zipo kimaslahi zaidi hazifati taratibu za soka huku wengine wakipinga kauli hiyo ya tff ...
★wadau wa soka mbali mbali wamesema kuwa ligi kuu imekosa mvuto kutokana pangua pangua ya ligi kuu bara walalamika kuwa mpks sasa imechezwa michezo kumk na mbili huku mda ukiwa umetutupa mkono ....
★Kutoka yanga mabingwa watetezi wa ligi kuu klabu ya soka ya yanga imesema leo saa saba mchana itakua na mkutano na wanahabari katika makao makuu ya klabu ....
★Salehe jembe imeripoti kuwa haji mwinyi bado ashikilia msimamo wake ataka kuondoka yanga huku taarifa za awali zinasema nyota huyo amepata timu nchini kenya ...
★Madaktari south wasema kuwa mbaraka yusuph hakupata majeraha makubwa sasa kurudi rasmi uwanjani mwezi january ...
★Saimon msuva habari nyingine huko uarabuni jana amepiga goli la kideoni difaa ikishinda mchezo huo na kuondoka na point tatu
Huku nyota huyo akifikisha magoli matano katika klabu hiyo ..
Soka Kimataifa
★Kocha mkuu wa liverpool Klop amesema wanaliverpool waondoe wasiwasi kuhusu usajili wa beki wao vandrjk kutoka Southampton ..
★Alex sanchez aipa point 3 arsenal jana hii ni baada ya arsenal kuibuka na ushindi wa goli 3_2 dhidi ya klabu ya soka ya Crystalpalace kwa matokeo hayo arsenal wanabaki nafasi ya sita wakiwa na point 37
★Klabu ya soka ya sevila jana ilimtangaza aliyekua kocha wa AC Milan Vincenzo Montella kuwa kocha mpya wa klabu hiyo ya nchini Spain ..
★kutoka katika Klabu ya Soka ya Swansea city , jana imethibitisha kuwa Carlos Carvalhal ndiye kocha mpya wa klabu hiyo...
★baada ya kufanya usajili wa pesa ndefu mwanakandanda wa zamani shearer amesema kuwa Van Dijk hana thamani ya pauni milion 75..
★Jana tuzo za Globe Soccer award zilitolewa
Mambo yalikua hivi
👉 Tuzo ya mwamuzi bora imekwenda kwa mjeruman felix brych
👉Klabu ya soka ya real madrid imeshinda tuzo ya klabu bora Ya mwaka 2017
👉ligi kuu nchini spain laliga imesinda tuzo ya ligi bora duniani
👉 Nyota Christian Ronaldo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia wa mwaka
👉Huku kocha mkuu wa real madrid Zinedine Zidane akishinda Tuzo Ya Kocha Bora Wa Mwaka
TETESI ZA SOKA MAJUU 
★imeelezwa kuwa kocha jose mourinho huenda akasitisha kutaka kumsajili nyota wa atletico madrid kutokana na jinsi hali ilivyonsasa katika kikosi cha manchester united huku dau la nyota huyo likiwa kikwazo ..
★klabu ya soka ya psg inawinda saini ya nyota felain ambaye anataka kuachana na manchester united mwezi january ...
★klabu ya westham united imesema tayati imenasa saini ya nyota wa Swansea anayecheza nafasi ya beki Alfie Mawson
★Nyota wa swansea Aleksandar Mitrovic amesema anataka kuachana na klabu hiyo mwezi january ...
★klabu ya soka ya As roma ya italia imesema kuwa mazungumzo yao na mchezaji wa Fiorentina Milan Badelj yanaendela poa anaweza kutua klabu hapo mwezi january ...
★klabu Ya soka ya psg imesema kuwa inawakaribisha mezani wote wanaotaka saini ya beki wao Layvin Kurzawa anayewindwa na vilabu kadhaa ...
Matokeo ya soka jana
Na
Chris Agstine
★England-Premier League
FT CrystalPalace 2- 3 Arsenal
★Italy-SerieB
FT Avellino 2- 1 Ternana
FT Brescia 0- 1 AscoliPicchioFC 1898 FT Carpi 0- 0 Bari
FT Cremonese 1- 0 Cesena
FT Entella 2- 1 Novara
FT Foggia 1- 2 Frosinone
FT Palermo 3- 0 Salernitana
FT Perugia 2- 4 Empoli
FT Pescara 1- 0 Venezia
FT ProVercelli 1- 2 Cittadella
★International - Gulf CupGroup A
FT Kuwait 0- 0 U.A.E.
FT Saudi Arabia 0- 2 Oman
★Turkey- Cup
FT Boluspor 2- 1 AkhisarBelediye Genclik Ve...
FT Besiktas 4- 1 Osmanlispor FK
★India -Indian SuperLeague
FT Jamshedpur 0- 1 Chennaiyin FC
★Iran - Pro League
FT EsteghlalKhuzestan 0- 3 Esteghlal
★Saudi Arabia - PremierLeague
FT Al-Raed 2- 2 AlFateh FC
FT Ohod 1- 4 AlHilal
FT Al Ittihad 3- 3 Al-Faisaly
★Egypt -Premier League
FT Al Masry 6- 3 Tanta
★Morocco- BotolaPro
FT WydadCasablanca 0- 1 OlympicClub de Safi
FT Difaa El Jadida 1- 0 HassaniaAgadir
★Tunisia - LigueI
FT AS Gabes 1- 0 ClubAfricain
FT JS Kairouanaise 2- 0 StadeGabesien
FT StadeTunisien 4- 2 EtoileMetlaoui
Ratiba ya soka leo mtu wangu
Na
chris Agstine
★Tanzania Vodacom Primier league
19:00 Azam Fc Vs Stand united
★England-Championship
22:45 CardiffCity Vs Preston NorthEnd
22:45 Millwall Vs Queens Park Rangers
★England-League1
22:45 Doncaster Rovers Vs Rochdale 22:45 WiganAthletic Vs Charlton Athletic
★England-League2
22:45 Morecambe Vs Yeovil Town
★Italy-SerieA
22:45 Crotone Vs SSC Napoli
★Australia -HyundaiA-League
11:50 Melbourne Victory Vs NewcastleJets
★Egypt -Premier League
16:00 Al-Ittihad Al-Sakandary Vs MisrEl-Maqasa
19:00 Al Ahly Vs Petrojet
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment