

WINGA wa timu ya Leicester City, Riyad Mahrez amesema kwamba kuna uwezekano wa asilimia 50 ya kujiunga na timu ya Arsenal mwishoni mwa msimu huu.
Kauli ya winga hiyo inatajwa kuashiria uwezekano mkubwa wa kujiunga Emirates katika dirisha la mwezi Januari.
Riyad alipata ofa ya kutua Barcelona katika dirisha lililopita lakini ilishindikana baada ya klabu yake kuitupiliambali ofa hiyo
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA


0 comments :
Post a Comment