News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Tuesday, 3 October 2017

SOMA HAPA DONDOO ZA USAJILI LEO JUMANNE 3 OCTOBER 2017

Tokeo la picha la Julian Draxler and sanchez
Arsenal inafikiria kubadilishana Julian Draxler kwenye dili la uhamisho wa Alexis Sanchez kwenda PSG mwezi Januari.
Everton haijaonesha nia yoyote ya kumhitaji mshambuliaji wa Arsenal Olivier Giroud.
Chelsea inatumaini kwamba dili lake la kutaka kumsajili nyota wa Borussia Dortmund Pierre Emmerick Aubameyang huenda likakwama baada ya nyota huyo kuthibitisha hana mpango wa kucheza soka Uingereza.
Arsenal huenda ikaketi kuzungumza na Mesut Ozil ili kuzuia kuihama klabu bila sababu ya msingi.
Huenda Chelsea ikakwama kumsajili Giorgio Chiellini baada ya nyota huyo kuongeza mkataba wa kuendelea kusalia Juventus.

 USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment