News
Loading...
Image Map HII NI 24 RADIO SIKILIZA NA UTUTUMIE SMS KWENDA 0684 666320 KUHUSU UNAVYOTUSIKIA

Friday, 27 October 2017

HII HAPA FOADI MBAVU YA SIMBA KUTOKA NIGERIA


Simba imetoa nafasi kwa mshambuliaji Mnigeria kujinoa katika kikosi chake.

Mnigeria huyo mwenye umbo la miraba minne ameonekana kijifua katika kikosi cha Simba kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar.


Mshambuliaji alianza kujifua na Simba jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, Simba wamekuwa hawataki kuzungumzia lolote kuhusiana na mchezaji huyo.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA
Share on Google Plus

About

0 comments :

Post a Comment