
MSHAMBULIAJI hatari wa Simba, Emmanuel Okwi ameanza kuwatia presha baadhi ya mabeki wa timu mbalimbali kutokana na kauli yake kwamba hatazuilika msimu huu,hofu hio imeongezeka kutokana na historia ya nyuma ya mshambuliaji huyo na alivyoanza ligi kwa mkwara mzito wa Goli 4 zilizosaidia timu yake iwararue bila huruma timu ya Ruvu Shooting kwa goli 7-0 pia na kwa jinsi alivyowanyamazisha mafarao kwenye mchezo wa kwanza kwa goli lake tamu ambalo liliifanya uganda kifunga Misri kwa goli 1-0
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment