Fifa wamekataa usajili wa mchezaji Adrien Silva aliekua anakipiga Sporting Lisbon ambae alikua ajiunge na Leicester kwa ada ya £22million sababu za FIFA kuukataa usajili huo ni kua
ulimalizika sekunde 14 mbele ya muda kufungwa kwa dirisha kwa hio Fifa wakasema ni usajili batili Tayari timu ya Leicester city imeshakata rufaa kuhusiana na jambo hilo huku mchezaji huyo akisema ataenda mahakama za kimichezo kupinga uamuzi huo
* USISAHAU KULIKE PAGE YETU HAPA*

0 comments :
Post a Comment